Kitagal-Murut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagal-Murut (pia Kisemambu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wamurut kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitagal-Murut imehesabiwa kuwa watu 2000 nchini Indonesia na watu 13,000 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagal-Murut iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagal-Murut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.