Kitae'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitae' (pia Kirongkong) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watae' kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitae' imehesabiwa kuwa watu 340,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitae' iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitae' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.