Kitabu cha Wafu cha Tibeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitabu cha wafu cha Tibeti-Bardo Thodol

Kitabu cha Wafu cha Tibeti ni andiko litokalo katika dini ya Ubuddha wa Tibeti.

Ni kitabu chenye utenzi wa maneno yasemwayo kwa mtu aliye kufa mara kabla ya kufa na Baada.

Huitwa Bardo Thodol kwa lugha ya kienyeji ya Tibet; kutoka neno Bardo lenye maana 'hali ya mpito' ama 'hali ya kati' na hata pia 'kuwa katikati ya'. Na Thodol yaani kuwekwa huru kwa kusikiza.

Asili[hariri | hariri chanzo]

Ni desturi ya kimapokeo ya watu wa Tibeti katika shughuli zinahusiana na mtu kukata roho. Bardo Thodol husomwa kwa namna ya kuimba na malama kuelekezwa kwa anayekufa, aliyekufa ama mtu wa ukaribu na marehemu. Hii imetokana na ushawawishi wa kiimani toka kwa Masanusi na Watawa wa Kibuddha wa Tibeti walio amka kiroho.

Mafundisho ya Kiroho[hariri | hariri chanzo]

Bardo Thodol inatofautisha hali ya kati kati ya maisha mawili kwa namna bardo tatu (na zenyewe zikizidi kugawanywa zaidi):


  • chikhai bardo au "bardo ya wakati wa mauti"
  • chonyid bardo au "bardo ya kuishi/pitia katika uhalisi"
  • sidpa bardo au "bardo ya kuzaliwa tena".


Chikhai bardo ina mambo juu ya upitio wa Nuru nyeupe ya uhalisi, aghalabu ya karibu kabisa ambayo mtu anaweza kuona kiroho.


Choyid bardo ina mambo juu ya upitio wa maona ya mabuddha katika hali mbali mbali (au, tena, kwa kiasi cha karibu mtu awezavyo kuona).

The sidpa bardo ina mambo juu ya maruwe ruwe yanatokana na Karma ambayo hupelekea kumlazimu mtu azaliwe tena.


Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]