Kisunum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisunum (pia Kiyamna) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasunum kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kisunum imehesabiwa kuwa watu 560 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisunum iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisunum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.