Kisukur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisukur ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasukur. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kisukur imehesabiwa kuwa watu 14,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisukur iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisukur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.