Kisorko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisorko (pia Kibozo au Kijenaama) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wabozo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisorko imehesabiwa kuwa watu 197,000. Pia kuna Wasorko wengine ambao wamehamia Nigeria wakifuata mto wa Niger. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisorko iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisorko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.