Kisongo (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisongo (au Kinsongo) ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wasongo. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kisongo imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisongo iko katika kundi la H20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisongo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.