Kisiwa cha Tsushima
Tsushima (対馬, Tsushima) ni kisiwa cha Funguvisiwa vya Japani katika eneo la kati la Mlango wa Korea kwenye ramani ya kijiografia 34°25'N na 129°20'E.[1][2] Hiki ni kisiwa kikubwa kabisa cha Mkoa wa Nagasaki. Jiji la Tsushima limezunguka kisiwa chote.
Yaliyomo |
Jiografia [hariri]
Kisiwa cha Tsushima kipo mjini magharibi mwa Mlango wa Kanmon kwenye latitudo baina Honshū na Kyūshū katika Japan bara. Mlango wa Korea umegawanyika katika Funguvisiwa vya Kisiwa cha Tsushima katika kanda mbili; kanda kubwa, nayo ipo karibu na Japan bara, ni Mlango wa Tsushima. Ōfunakoshi-Seto na Manzeki-Seto, mifereji miwili ambayo ilijengwa mnamo 1671 na 1900 kwa kufuatana, inaunganika na kina kirefu cha Asō Bay kwa upande wa mashariki mwa kisiwa. Funguvisiwa imejumlisha vijisehemu takriban kumi tatu ikiwemo na kisiwa kikuu.
Soma zaidi [hariri]
- Ian Nish, A Short History of JAPAN, 1968, LoCCC# 68-16796, Fredrick A. Praeger, Inc., New York, 238 pp.
-
- British Title and Publisher: The Story of Japan, 1968, Farber and Farber, Ltd.
- Edwin O Reischauer, Japan - The Story of a Nation, 1970, LoCCC# 77-10895 Afred A. Knopf, Inc., New York. 345 pp. plus index.
-
- Previously published as Japan Past and Present, 4 Editions, 1946–1964.
- Shiraki K, Konda N, Sagawa S, Park YS, Komatsu T, Hong SK (Desemba 1985). "Diving pattern of Tsushima male breath-hold divers (Katsugi)". Undersea Biomed Res 12 (4): 439–52. PMID 3936250. http://archive.rubicon-foundation.org/3035. Retrieved 2008-07-22.
Marejeo [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
- A Profile of Tsushima City
- Open minds bridge the gap between cultures - Cho Kyung-dal
- 15th century Korean artifact unearthed on Tsushima Island, published by Japan Science Scan
- Reaching across the strait 1/ Sleepy Tsushima discovered in a big way
- (Kijapani) A list of annual events and matsuri's in Tsushima
- A 1998 newsgroup posting by Gari Ledyard, King Sejong Professor of Korean History at Columbia University in the City of New York
- U.S. State Department, Report from the Office of Intelligence Research: Korea´s Recent Claim to the Island of Tsushima (prepared on March 30, 1950)
- "Request for Arrangement of Lands Between Korea and Japan," by the Patriotic Old Men´s Association, Seoul, Korea (August 5, 1948).
- Pro-U.S./Japan Grand National Party members' assertion to claim sovereignty over Daemado in response to Japanese government's action to advertise Dokdo as Japanese territory. (July 17, 2008)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Tsushima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |