Kisira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisira ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasira. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisira imehesabiwa kuwa watu 39,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisira iko katika kundi la B40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.