Kisighu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisighu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasighu. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kisighu imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisighu iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisighu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.