Kishi (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishi ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Washi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kishi imehesabiwa kuwa watu 654,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishi iko katika kundi la J50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.