Kisherbro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisherbro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Washerbro. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisherbro imehesabiwa kuwa watu 135,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisherbro kiko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisherbro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.