Kishekkacho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishekkacho (pia Kimocha) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Washekkacho. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kishekkacho imehesabiwa kuwa watu 79,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kishekkacho iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishekkacho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.