Kisepa (Indonesia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisepa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasepa kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisepa imehesabiwa kuwa watu 2600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisepa iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisepa (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.