Kisengele (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisengele ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasengele. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisengele imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisengele iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisengele (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.