Kiselee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiselee ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waselee. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiselee imehesabiwa kuwa watu 11,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiselee iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiselee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.