Kiselayar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiselayar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waselayar kwenye kisiwa cha Selayar. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiselayar imehesabiwa kuwa watu 128,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiselayar iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiselayar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.