Kisekar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisekar ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasekar kwenye kisiwa cha Bomberai. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kisekar imehesabiwa kuwa watu 450 tu, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekar iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisekar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.