Kisehwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisehwi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wasehwi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisehwi imehesabiwa kuwa watu 250,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisehwi iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisehwi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.