Kisangu (Gabon)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisangu (lugha ya Gabon))

Kisangu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasangu. Isichanganywe na Kisangu cha Tanzania. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisangu imehesabiwa kuwa watu 20,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisangu iko katika kundi la B40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisangu (Gabon) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.