Kisanggau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisanggau ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasanggau kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisanggau imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisanggau iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisanggau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.