Kisambal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisambal (au Kitina-Sambal) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wasambal. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisambal imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisambal iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisambal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.