Kisaari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisaari (au Kinsari) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wasaari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisaari imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaari iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.