Kisaamia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kisaamia ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wasaamia. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisaamia nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 335,000. Pia kuna wasemaji nchini Kenya. Kisaamia kinafanana sana na Kiluhya cha Kenya, na wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kiluhya. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisaamia iko katika kundi la J30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaamia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.