Kironga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kironga ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Waronga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kironga nchini Msumbiji imehesabiwa kuwa watu 721,000. Pia kuna wasemaji elfu moja nchini Afrika Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kironga iko katika kundi la S50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kironga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.