Kirombo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirombo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warombo, jamii ya Wachagga. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirombo kiko katika kundi la E60.

Idadi ya wasemaji wa Kirombo imehesabiwa mwaka 2009 kuwa watu 202,000[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirombo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.