Kipunan-Batu 1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipunan-Batu 1 ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wapunan. Ni tofauti na Kipunan-Batu 2 ambayo ni lahaja ya Kisajau-Basap. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Batu 1 imehesabiwa kuwa watu 30 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Batu 1 iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipunan-Batu 1 kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.