Kikipsigis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kipsigis)

Kikipsigis ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wakipsigis, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikipsigis imehesabiwa kuwa watu 1,916,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikipsigis iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikipsigis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.