Kipondya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kipondya
Kipondya wa Ulaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Nusufamilia: Circinae (Vipondya)
Jenasi: Circus
Lacépède, 1799
Spishi: C. aeruginosus Linnaeus, 1758

C. approximans Peale, 1848
C. assimilis Jardine & Selby, 1828
C. buffoni Gmelin, 1788
C. cinereus Vieillot, 1816
C. cyaneus Linnaeus, 1766
C. macrourus S.G. Gmelin, 1770
C. macrosceles A. Newton, 1863
C. maillardi J. Verreaux, 1862
C. maurus (Temminck, 1828)
C. melanoleucos (Pennant, 1769)
C. pygargus (Linnaeus, 1758)
C. ranivorus (Daudin, 1800)
C. spilonotus Kaup, 1847 C. spilothorax Salvadori & Albertis, 1875

Vipondya ni ndege mbua wa nusufamilia Circinae katika familia Accipitridae ambao hukamata wanyama na ndege wadogo. Wakitafuta mawindo vipondya huruka kwa mwinuko mfupi juu ya viwanja na vinamasi na huweka mabawa yao kwa V fupi. Rangi za manyoya ya dume na jike ni tofauti. Hulitengeneza tago lao ardhini au juu ya mti na jike huyataga mayai 1-8.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine