Kipinyin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipinyin ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wapinyin. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipinyin imehesabiwa kuwa watu 24,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipinyin iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipinyin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.