Kiphimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiphimbi ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Waphimbi. Idadi ya wasemaji wa Kiphimbi imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiphimbi iko katika kundi la N40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphimbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.