Kipeve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipeve ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wapeve. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kipeve nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 30,000. Pia kuna wasemaji 5720 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipeve iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipeve kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.