Kipekecho cha Warangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kipekecho kilivyochorwa na Ndg. Yovin Maingu kutoka Haubi, Wilaya ya Kondoa.

Kipekecho cha Warangi kilichongwa kutokana na mti. Kwa Kirangi huitwa "lʉfire". Hutumika kwa kupekechea uji, ugali, au maziwa yaliyoganda. Kipekecho cha asili kilikuwa na masikio matatu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Yovin Maingu na Brunhilde Bossow, 2006 "Mazingira ya Warangi na Wajerumani wa Kale", Kutolewa na Heimat- und Kulturverein Gellersen (Shirika la Historia na Utamaduni za Vijiji vya Gellersen, Ujerumani)
Vifaa vya Warangi
bangilibaragumuchombo cha kukamuliachombo cha tumbakuchungujembe - kibuyu kidogokibuyu kikubwakihorikinukipekecho - kirindokisungomasagiosandukushikilioshokatunguupawa

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipekecho cha Warangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.