Kionin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kionin (pia Kisepa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waonin kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kionin imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kionin iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kionin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.