Kiokolod

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiokolod ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Waokolod kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiokolod nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 3390 na nchini Malaysia watu 1580. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiokolod iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiokolod kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.