Kiokobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiokobo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waokobo. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiokobo imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiokobo iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiokobo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.