Kiogbia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiogbia ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waogbia. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiogbia imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiogbia iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiogbia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.