Kiogbah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiogbah ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waogbah. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiogbah imehesabiwa kuwa watu 170,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiogbah iko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiogbah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.