Kinyengo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyengo ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wanyengo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinyengo imehesabiwa kuwa watu 9380. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyengo iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyengo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.