Kinyali (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyali ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanyali. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinyali imehesabiwa kuwa watu 43,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyali iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyali (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.