Kinyahkur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyahkur ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wanyahkur. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyahkur imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyahkur iko katika kundi la Kimoniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyahkur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.