Kinyabwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinyabwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wanyabwa. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinyabwa imehesabiwa kuwa watu 42,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinyabwa iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kinyabwa]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyabwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

na pia asili ni huko africa magharibi