Kintcham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kintcham ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Ghana inayozungumzwa na Wantcham. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kintcham nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 57,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kintcham iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kintcham kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.