Kinoy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinoy ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wanoy. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinoy imehesabiwa kuwa watu 36 tu. Kwa hiyo lugha hii imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinoy iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinoy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.