Kinkari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinkari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wankari. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kinkari imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinkari iko katika kundi la Cross River. Wengine husema kuwa Kinkari ni lahaja ya lugha ya Kiibuoro.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinkari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.