Kinjerep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinjerep ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanjerep. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinjerep imehesabiwa kuwa watu sita tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinjerep iko katika kundi la Kimambiloidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinjerep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.