Kinjen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinjen (lugha))

Kinjen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanjen. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinjen imehesabiwa kuwa watu 1800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinjen iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinjen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.