Kinjebi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinjebi ni lugha ya Kibantu nchini Gabon na Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wanjebi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinjebi nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 120,000. Pia kuna wasemaji zaidi ya 15,000 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinjebi iko katika kundi la B50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinjebi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.