Kinimbari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kinimbari (lugha))

Kinimbari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanimbari. Idadi ya Wanimbari imehesabiwa kuwa watu 130 tu lakini hakuna aliyebaki kuweza lugha ya Kinimbari. Kwa hiyo lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinimbari iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinimbari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.