Kingwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kingwe (lugha))

Kingwe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wangwe. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kingwe imehesabiwa kuwa watu 73,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingwe iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.